Saturday, June 2, 2012

Redds Miss Singida 2012, Zena Mode akiwa na mshindi wa pili Rehema Marwa (L) na wa tatu Eliza Diamond.

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akikabidhi zawadi Zena Mode, baada kuibuka mshindi, shindano la Miss Singida, lililofanyika usiku wa kuamkia leo, Juni 2, 2012 katika ukumbi wa Aqua mjini Singida. Mshindi wa kwanza amepata sh. 400,000, wapili sh. 300,000 na wa tatu sh. 200,000.  Akifungua shindano hilo, Nape ameahidi kwamba CCM itatoa ajira kwa miss Singida kama atafanikiwa kuingia katika tatu bora katika shindano la Miss Tanzania.na kwamba CCM inayatambua mshindano ya urembo hapa nchini.

Nape akiwa na Miss Singida, Zena Mode. wengine ni mshindi wa pili Rehema Marwa na  mshindi wa tatu, Eliza Diamond.

Warembo walioingia tano bora.

Msanii Khadija Kopa akitumbuiza mashabiki wakati wa shindano hilo mjini Singida.

Nape akimtuza Khadija Kopa wakati wa shindano hilo

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...