Mtangazaji maarufu Bongo, Maimartha Jesse ‘Mai’.
Mai aliweka picha ya Wema akiwa na Kombo kwenye ukurasa wake wa 
Instagram na kumpongeza kwa kumpata ingawa watu mbalimbali walimponda 
mtangazaji huyo kwa maneno makali wakimlaumu kwa kufurahia mwenzake 
kuporwa bwana.Gazeti hili lilipomtafuta na kumuuliza kuhusu kisanga hicho, Mai alisema; “Jamani Wema naye ni binadamu na ana haki ya kuwa na mpenzi, mimi sijui hizo habari kwamba amemchukua mwanaume wa Linah, nilimpongeza kwa sababu ni mdogo wangu, kwa kumpata mpenzi kwani mjini mwanamke ukionekana kila siku uko peke yako wanakufikiria vibaya na kuongea maneno mengi ya ajabu.”
 
 
No comments:
Post a Comment