Thursday, March 5, 2015

KISA ‘NANILIU’ NDEFU, MKE AOMBA TALAKA


Nchini Nigeria mwanamke mmoja ameiomba mahakama kufuta unyumba wake, ikiwa ni wiki moja tu katika ndoa, baada ya kufunguka mbele ya mahakama kuwa hawezi kuvumilia ‘gududu’ kuwa ni mrefu sana.
Kituko hicho kilitokea jana kwenye Mahakama ya Sharia, Samaru huko Zamfara, ambapobaada ya mwanamke, Aisha Dannupawa kuiomba mahakama hiyo kusitisha ndoa yake na Ali Maizinari ikiwa ni wiki moja tu kwa kile alichosema jamaa ana ‘mtambo’ mrefu.
Kesi hiyo ilipokuja, mwanamke aliieleza mahakama kuwa aliolewa na mme huyo baada ya ndoa yake ya kwanza kuvunjika
Mama huyo wa watoto watatu alithibitisha kuwa kabla ya kuhamia kwa mme huyo kama utamaduni wa kiafrika, alikuwa akimkaribisha kwao kwa wazazi wake.
Akifunguka mbele ya mahakama mwanamke huyo alisema “Kila alipokuja, tulifanya mapenzi lakini ile hali haikuwa ya kawaida. Badala ya kufurahia tendo lenyewe, iligeuka kitu kingine kabisa, sababu mb** yake ilikuwa kubwa,”.
Aliieleza mahakama kuwa baada hali kuwa mbaya, aliamua kutafuta dawa ambayo alipewa na mama yake.
“Nilimweleza mama hali ile lakini alinishauri kuvumilia na nitazoea, kwamba nitaendana na hali yenyewe. Pia alinipa dawa ambayo ingenisaidia,” alisema na kuendelea
 “Siku mbili baadaye mme alikuja tena, tulifanya tena, lakini hali ilikuwa ni zaidi na isiyovumilika. Ndipo nikajua kuwa siwezi kuendelea kuwa naye kwa sababu ya saizi ya mtambo wake.’’
Mmewe, Maizinari, hakukanisha kile mke wake alichokisema mbele ya mahakama, badala yake aliiomba mahakama kumpa talaka lakini kwa mke kumrudishia kila alichompa pamoja na kulipia gharama za makahama.
Alipoeleza kueleza mahakama kiasi ambacho alikuwa amempa mwanamke huyo, alisema zilifikia N60,000.
Rais wa Mahakama, Alhaji Mamman Shinkafi, aliwambia wawili hao kuelewana kwanza kabla ya siku inayofuata yaani leo.
Chanzo: http://www.redpepper.co.ug/please-dissolve-our-one-week-marriage-i-cant-cope-with-his-huge-whopper-wife-tells-court/

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...