Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Naibu Mkurugenzi wa Azam TV Bw. Dunstan Tido Mhando wakati wa sherehe za uzinduzi rasmi wa studio mpya za stesheni hiyo iliyopo Tabata Relini jijini Dar es salaam leo Machi 6, 2015.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitangaza rasmi kuzinduliwa kwa studio mpya za stesheni ya Azam TV Tabata Relini jijini Dar es salaam leo Machi 6, 2015. Pamoja naye kwenye kilinge cha utangazaji ni mmiliki wa stesheni hiyo Bw. Saidi Salim Bakhressa
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara pamoja na uongozi na baadhi ya wafanyakazi wa Azam TV wakati wa sherehe za uzinduzi rasmi wa studio mpya za stesheni hiyo iliyopo Tabata Relini jijini Dar es salaam leo Machi 6, 2015.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo kutoka kwa fundi mitambo Mkuu wa Azam TV Bw. Mehboub al Hadad juu ya namna gari la kurusha matangazo nje ya studio (OB Van) linavyofanya kazi wakati wa sherehe za uzinduzi rasmi wa studio mpya za stesheni hiyo iliyopo Tabata Relini jijini Dar es salaam leo Machi 6, 2015.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitembezwa sehemu mbali mbali za Azam TV na mwenyeji wao Bw. Saidi Salim Bakhressa wakati wa sherehe za uzinduzi rasmi wa studio mpya za stesheni hiyo iliyopo Tabata Relini jijini Dar es salaam leo Machi 6, 2015.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikaribishwa na Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya Bakhressa Group, Bw. Saidi Salim Bakhressa alipowasili kwa sherehe za uzinduzi wa studio mpya za kisasa za Azam TV Tabata Relini jijini Dar es salaam. Katikati yao ni Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara
Rais Kikwete akisalimiana na Mtendaji Mkuu wa Azam TV Bw. Yusuf Bakhressa
Rais Kikwete akisalimiana na Mtendaji wa Azam Media Bw. Omar Bakhressa
Rais Kikwete akisalimiana na Meneja wa Bakhressa Group Bw. Aziz
Rais Kikwete akiweka saini katika kitabu cha wageni
Rais Kikwete akioneshwa ratiba ya sherehe na Naibu Mtendaji Mkuu wa Azam TV Bw. Dunstan Tido Mhando
Rais Kikwete akitembezwa maeneo mbalimbali ya studio za Azam TV
Rais Kikwete akipata maelekezo katika chumba cha kuhariri vipindi na kuchanganya picha
Rais Kikwete akipata maelekezo katika chumba cha kuhariri vipindi na kuchanganya picha
Rais Kikwete akiongea na wafanyakazi wa Azam TV
Bwana Mwabulambo hana Wasiwasi na mtangazaji mwenzie wa hapo studio
Watangazaji vijana na machachari kabisa wa Azam TV
Wasoma habari mahiri wa Azam TV
Azam TV imesheheni vijana
Rais Kikwete akikaribishwa ndani ya Studio na CEO wa Azam TV Bw. Yusuf Bakhressa
Rais Kikwete akifafanua jambo
Rais Kikwete akielezwa jambo kabla ya kuzindua rasmi studio za Azam TV
Rais Kikwete akitamka kuzindua rasmi studio za Azam TV akiwa na mwenyeji wake Bw. Said Salim Bakhressa.
Rais Kikwete akifurahia zawadi ya picha yake
Rais Kikwete akiongea na Yusuf na Omar Bakhressa
Rais Kikwete katika picha na baadhi ya wana familia ya Bahkressa
Picha na viongozi watendaji wa Azam TV
Picha na wafanyakazi wa Azam TV
Picha na waandishi, watangazaji, wapiga picha na wahariri wa Azam TV
Picha na viongozi toka vyombo mbalimbali vya habari walioalikwa |
Picha na waandishi, watangazaji, wapiga picha na wahariri wa Azam TV
Mdau Adam Gille akijaribu kamera ya kisasa ya Azam TV
Mmoja wa wapiga picha mahiri wa Azam TV
Burudani
Meza kuu
MC Taji Liundi akiwa kazini
Zifuatazo ni taswira za wageni waalikwa
Mweka hazina wa Tanzania Blogger Association Bi Shamim Mwasha (njano kulia) na Mjasiriamali na mwanamitindo Khadija Mwanamboka walikuwepo
No comments:
Post a Comment