Mez B enzi za uhai wake.
MSANII kutoka kundi la Chemba Squad lilikuwa likijumuisha wasanii zaidi ya wa5 badhii yao kama Marehemu Albert Mangwea, Dark Master, Nurah na Moses Bushagama ‘Mez B’, kwa taarifa zilizotufikia mapema leo saa nne asubuhi zinadai kuwa amefariki dunia akiwa nyumbani kwao Mkoani Dodoma, kwa mujibu wa chanzo cha taarifa hizi zimedaiwa kwamba marehemu alikuwa anaumwa ugonjwa wa Pneumonia na ndio ugonjwa ambao unadaiwa kumuua.
Taarifa zaidi juu ya maziko ya msanii huyo tutakutaarifu kila tutakapo juzwa na ndugu na jamaa waliopo msibani hapo.
No comments:
Post a Comment