MSANII mkongwe katika tasnia ya maigizo Bongo, Mahsein Awadhi ‘Dk. Cheni’ amefunguka kuwa anasubiri kwa hamu usajili wa fomu ukamilike ili aweze kugombea tena uongozi wa Klabu ya Bongo Movie
“Niko tayari na nitagombea tena uongozi kwa nafasi ya uenyekiti, sasa hivi ninachosubiri ni usajili tu ukikamilika na mambo yatakwenda sawa kwani nimejipanga vya kutosha kuongoza,” alisema Dk. Cheni
No comments:
Post a Comment