STAA wa Bongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond’, ameamua kuja kiupya na kuonyesha Project yake ya kwanza akiwa na mchumba wake Zarinah Hassani 'Zarithebosslady',ambapo maandalizi yake yalianza jana Kongowe nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam, ikiwa ni moja ya ngoma yake mpya ambayo haijatambulika jina lake.
No comments:
Post a Comment