Nakala ya gazeti hili leo imeendeleza shughuli ya kufichua maovu mbalimbali yanayotokea katika mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara, ambapo wiki iliyopita kulikuwa na sakata la Tambwe kuchezewa ndivyo sivyo na beki wa Ruvu shooting, siku hata mwezi haujamalizika tukio jingine la udhalilishaji lemenaswa ..... ENDELEA KUPITIA MTANDAO HUU MARA KWA MARA ILI UJIONEE PICHA ZAID ZA TUKIO ZIMA LILIVYOKUWA .....
No comments:
Post a Comment