Saturday, June 28, 2014

WAAJIRI NCHINI KUCHUKULIWA HATUA NA BODI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUUMkurugenzi Msaidizi Urejeshaji Mikopo kutoka Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu Bw. Robert Kibona akitoa mada wakati wa mkutano mkuu wa mwaka wa Wakurugenzi wa Utawala na Rasilimaliwatu Serikalini mjini Dodoma leo.

Baadhi ya washiriki wa mkutano mkuu wa mwaka wa Wakurugenzi wa Utawala na Rasilimaliwatu Serikalini wakifatilia mada mjini Dodoma leo.

BodiyaMikopoyaElimuyaJuunchiniimepangakuwachukuliahatuawaajiriwotenchinikwakushindwakuwasilishataarifazawahitimuwaelimuyajuuwanaodaiwanaBodihiyo.
HayoyalisemwanaMkurugenziMsaidiziUrejeshajiMikopokutokaBodiyaMikopoyaElimuyaJuuBw. Robert KibonaalipokuwaakitoamadakuhusuurejeshwajiwamikopoyaelimuyajuukwenyemkutanomkuuwamwakawaWakurugenziwaUtawalanaRasilimaliwatuSerikalinimjini Dodoma leo.

“MpakasasatumewachukuliahatuajumlayawaajiriwatanoambaowameshindwakuwasilishataarifazawatumishiwaowanaodaiwanaBodiyaMikopoyaElimuyaJuu” alisemaBw.Robert.

Alisema,mwajiriatakayeshindwakutoataarifazawahitimuwaelimuyajuukatikaBodikwawakatiatatakiwakulipafainiyashilingimilionisaba au kutumikiakifungokisichopunguamiezi 12 au vyotekwapamoja.

Aidha,Bw. Robert alisemakuwampakasasatakribaniwaajiriwa18 wamefikishwamahakamanikwakosa la kushindwakurejeshamikopohiyo.

Bw.Robertalifafanuakuwailikufanikishazoezi la urejeshajimikopokutokakwawadaiwa, BodiyaMikopoyaElimuyaJuuinatungasherianamifumombalimbaliyakuwadhibitiwadaiwahao.
“Tunatengenezasheriaambazozitawazuiawadaiwawamikopoyaelimuyajuukupatahatiyakusafirianjeyanchiau kibali cha kusafirihadiatakapowasiliananaBodi.”

Pia,alisemamhitimuatakayeshindwakulipamkopotaarifazakezitatangazwakwenyevyombovyahabarinakwenyetaasisizamikopoiliasipatehudumayoyoteyakifedha.
Naye, MsaidiziwaMkurugenziMtendajiBodiyaMikopoyaElimuyaJuu Dk. Veronica

Nyahendeamewatakawahitimuwaelimuyajuunchinikutumiaelimuwaliyonayokujiajiriwenyewebadalayakusubirikuajiriwa.
Alisemachangamotoyakurejeshamikoponikubwakwaupandewawahitimuwaelimuyajuuambaohawanakaziamahawajajiajiri.
“Changamotoiliyoponiwahitimukushindwakulipamikopohiyokutokananakuwanakipato cha chiniamakukosaajira.” AlisemaBodiimeingiamkatabanakampunizitakazokusanyamikopokwawalionufaikanamikopohiyonakushindwakuilipa
BodiyaMikopoyaElimuyaJuuikokatikamchakatowakuelimishaummanawatendajiwakuuSerikaliniilikuhakikishawanawasilishataarifazawatumishiwaowanaodaiwamikopohiyo.

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...