Monday, June 2, 2014

HATIMEYE SIKU ALHAMISi 29.05.2014 MWILI WA MAREHEMU SHEILA (RACHEL) HAULE WAPUMZISHWA KATIKA NYUMBA YAKE YA MILELE KINONDONI DAR ES SALAAM


Msanii wa Bongo Movie Sheila (Rachel) Haule aliyezaliwa mwaka 1988, siku ya jana ilikuwa ni siku yake ya mwisho kuliona jua hapa dunia.
CHANZO CHA KIFO CHAKE
Rachel Haule ambaye alikuwa mjamzito, siku ya Jumamosi 25.05.2014 alikimbizwa katika hospitali ya Lugalo hapa jijini Dar es Salaama kwaajili ya kujifungua na bahati mbaya sana baada ya kujifungua mtoto alifariki dunia. Hali ya Sheila (Rachel) Haule ilikuwa mbaya kutokana na pressure aliyokuwa nayo, alikimbizwa katika hospitali ya Muhimbili, kufika hospitalini hali ilikuwa mbaya sana na ikalazimika kumpeleka I.C.U na huko ndiko kifo chake kilimpata. Akiwa I.C.U alikuwa akilalamika sana kumuona mwanae lakini hakuweza kumuona mwanae mpaka mauti ilipomchukua.
Rechal Haule kipindi cha uhai wake alitamani sana kuwa na mtoto, alikuwa akizungumza sana juu ya kupata mtoto kwa rafiki yake kipenzi Odama. Odama alimtania na kumwambia akijifungua tu muda mchache watacheza filamu, Rachel alikataa na kusema anataka kumlea mwanae kwanza. Ndoto yake haijatimia na imezimika ghafla.

MANENO YA MWISHO ALIYOONGEA KWA RAFIKI YAKE JENNIFER KYAKA (ODAMA)
Rachel Haule alisema, "Odama nataka kumuona mwanangu, Je, umemuona mwanangu?" Masikini ya Mungu, Rachel Haule hakujua ya kuwa manae alishafariki.

MAZISHI
Mwili wa marehemu umeagwa katika viwanja vya Leaders na kuzikwa katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
 Odama wa pili kutoka kulia akiwa na mama Elieth
  Odama wa pili kutoka kulia akiwa na mama Elieth
  Odama wa pili kutoka kulia akiwa na mama Elieth
  Odama wa pili kutoka kulia akiwa na mama Elieth
 MC
 Mpenzi wa marehemu Rachel Haule, Saguda wa pili kutoka kushoto
 Odama wa pili kutoka kulia akiwa na uchungu wa kupotelwa na rafiki yake Rachel Haule
 
 


KIPINDI CHA KUOMBEA MWILI WA MAREHEMU

KIPINDI CHA KUTOA SADAKA BAADA YA NENO LA MUNGU
 Kemmy akikusanaya sadaka
 Irene Uwoya akiwa amebebwa baada ya kuzimia Leader
 Irene Uwoya akiwa amezimia
  Irene Uwoya akiwa amezimia
  Irene Uwoya akiwa amezimia
 Mama Elieth (kulia) akiwa na Odama
 Basila (kushoto) ambaye ndiye alikijua kipaji cha marehemu Rachel Haule akiwa na uchungu mkubwa

KIPINDI CHA WASANII WA BONGO FLAVA KUMUIMBIA MAREHEM RACHEL HAULE
 Stara Thomas
 Stara Thomas

KIPINDI CHA KUAGA MWILI WA MAREHEMU SHEILA (RACHEL) HAULE  LEADERS
 Kushoto ni Jennifer Kyaka (Odama) akiwa na mama Elieth
 Mwili wa Marehemu Sheila (Rachel) Haule
 Mwili wa Marehemu Sheila (Rachel) Haule
 Mwili wa Marehemu Sheila (Rachel) Haule
 Mwili wa Marehemu Sheila (Rachel) Haule
 Mpenzi wa marehemu Sheila (Rachel) Haule, Saguda akiwa na uchungu nkubwa wa kufiwa mkewe na mwanae
 Mpenzi wa marehemu Sheila (Rachel) Haule, Saguda akiwa na uchungu nkubwa wa kufiwa mkewe na mwanae
 Mpenzi wa marehemu Sheila (Rachel) Haule, Saguda akiwa na uchungu nkubwa wa kufiwa mkewe na mwanae
 Mama yake na Marehem Kanumba
 Kajala (wa pili kutoka kushoto)
 JB
 Mainda
 Luge wa Clouds FM
 Joti
 Kemmy
 Maimatha
 Mwenyekiti wa Bongo movie Steve Nyerere
 Mama Elieth (kulia) akimfariji Jennifer Kyaka (Odama)
 Odama haamini macho yake kuhusina na kifo cha rafiki yake Sheila (Rachel) Haule

KIPINDI CHA JENNIFER KYAKA (ODAMA) KUAGA MWILI WA RAFIKI YAKE MPENZI SHEILA (RACHEL) HAULE
 Odama akiwa ameshikiliwa kwakukosa nguvu
 Saguda mpenzi wake na marehemu Sheila (Rachel) Haule

MAENENO YA MAKABURI YA KINDONI AMBAKO MWILI WA MAREHEMU RACHEL HAULE UNAPUMZISHWA.

ODAMA AKIHOJIWA NA CLOUDS TV KATIKA MAKABURI YA KINONDONI
 Odama akiwahojiwa na Shamaradi wa kipidi cha Take One Clouds TV
 Kulia ni mkurugenzi wa Rumafrica Rulea Sanga



























































No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...