Saturday, June 14, 2014

ENGLAND HOI KWA ITALIA



Straika wa Italia, Mario Balotelli (kushoto) akiifungia timu yake bao la ushindi dhidi ya England usiku huu.


Daniel Sturridge akishangilia baada ya kuisawazishia England katika dakika ua 37.…


Straika wa Italia, Mario Balotelli (kushoto) akiifungia timu yake bao la ushindi dhidi ya England usiku huu.


Daniel Sturridge akishangilia baada ya kuisawazishia England katika dakika ua 37.


Wachezaji wa Italia wakishangilia bao la kwanza lililofungwa na Claudio Marchisio (jezi namba 8 kulia).


Hekaheka wakati wa mtanange huo.

KIKOSI cha England kimeanza vibaya Fainali za Kombe la Dunia 2014 nchini Brazil baada ya kupokea kipigo cha bao 2-1 kutoka kwa Italia usiku huu. Katika mechi hiyo ya kundi D wafungaji wa Italia: Marchisio 35, Balotelli 50 na England Sturridge 37.

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...