SAMIA Suluhu Hassan ndiye Makamu Mwenyekiti wa Kudumu Bunge Maalum la Katiba baada ya kupata kura 390 sawa na 74% na kumshinda mpinzani wake Amina Abdallah Amour aliyepata jumla ya kura 126 sawa na 24%. Kwa matokeo hayo, Samia Hassan ataungana na Samuel Sitta aliyechaguliwa jana kuwa Mwenyekiti wa Kudumu wa bunge hilo katika mchakato mzima wa kupata katiba mpya.
No comments:
Post a Comment