Wednesday, January 22, 2014

MBUNGE WA CCM JIMBO LA CHALINZE SAID BWANAMDOGO AFARIKI DUNIA


Mbunge wa Chalinze, Said Ramadhani Bwanamdogo enzi za uhai wake.

HABARI zilizotufikia hivi punde ni kwamba Mbunge wa Chalinze, Said Ramadhani Bwanamdogo (CCM), aliyekuwa amelazwa chumba cha wagonjwa mahututi (ICU), katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Upasuaji wa Mishipa ya Fahamu (MOI) amefariki dunia! 
CHANZO:WWW.GLOBALPUBLISHERS/INFO

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...