Monday, January 27, 2014

KAMANDA WA POLISI IRINGA (OCD) APATA AJALI



Askari waliokuwa wakielekea katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni za CCM kata ya Nduli Iringa mjini wakitazama gari ambalo alikuwa akiendesha OCD Iringa lililopata ajali majira ya saa 10 jioni leo (jana) jumapili japo hakuna aliyepoteza maisha ktk ajali hiyo iliyotokea kona la Mgongo barabara ya Iringa-Dodoma


wasomi wa chuo kikuu cha Iringa wakitazama ajali hiyo ambayo dereva wake OCD Iringa alinusurika kifo na kuumia mkono wake kiasi.Picha na Francis Godwin-Iringa

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...