Monday, November 4, 2013

RAIS DKT KIKWETE AMTEMBELEA HOSPITALI DKT SENGONDO MVUNGI ALIYEJERUHIWA NA MAJAMBAZI


Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete na Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi Mhe. James Mbatia na daktari wa zamu wakimwangalia Mjumbe wa Tume ya Katiba Dkt. Sengondo Mvungi aliyelazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kitengo cha Mifupa (MOI) jana Oktoba 3, 2013 kufuatia kujeruhiwa kwake na watu wanaosadikiwa ni majambazi usiku wa Jumamosi Oktoba 2, 2013. (PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...