Wednesday, September 25, 2013

SERIKALI YAIPA PONGEZI TIMU YA AIRTEL RISING STAR



Mkurugenzi wa masoko wa Airtel Levi Nyakundi akiongea wakati wa hafla ya kuipongeza timu ya Airtel Rising stars mara baada ya kufanya vizuri katika mashindano ya Airtel Rising Star nchini Nigeria. hafla hiyo ilifanyika jana ndani ya Ukumbi wa  Hoteli ya Hyatt.

katibu mkuu wa shirikisho la mpira wa miguu nchini Angetile Osiah akiongea wakati wa halfa ya kuwapongeza wachezaji wa timu ya Airtel Rising stars mara baada ya kufanya vizuri katika mashindano ya Airtel Rising Stars nchini Nigeria. halfa hiyo ilifanyika jana katika hoteli ya Hyatt.

Kocha wa timu ya wasichana ya Airtel Rising stars Rogatician Kaijage akiongea wakati wa hafla ya kuwapongeza wachezaji wa timu ya Airtel Rising stars mara baada ya kufanya vizuri katika mashindano ya Airtel Rising Star nchini Nigeria. hafla hiyo ilifanyika jana katika hoteli ya Hyatty jijini Dar.

Wachezaji waliozawadiwa kwa kung'ara katika michuano ya Airtel Rising stars pamoja na captain wa timu hiyo wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi Mkurugenzi wa maendeleo ya michezo nchini Leonard Thadeo aliyesimama kulia.

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...