HIVI NDIVYO MWILI WA ASKOFU KULOLA ULIVYOAGWA KWENYE UWANJA WA CCM KIRUMBA
Pichani
juu ni taswira za kuaga mwili wa marehemu Askofu Moses Kulola katika
Uwanja wa CCM Kirumba mkoani Mwanza. Malefu ya wananchi walijitokeza
jana kumuaga mpendwa wao huyo aliyefariki Agosti 29 mwaka huu jijini Dar
es Salaam. Mwili wa marehemu Kulola unatarajiwa kuzikwa leo jijini
Mwanza.
No comments:
Post a Comment