Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Sinza E akiwa chini muda mfupi baada ya kupata ajali ya kugongwa na bodaboda maeneo ya Vatican Sinza
Mwendesha bodaboda (mwenye koti jeusi),akihaha baada ya kumsababishia ajari M/kiti wa Serikali za mtaa.
Mwenyekiti akiwa amezimia katikati ya barabara muda mfupi baada ya kupata ajali hiyo.
Wananchi wakimpandisha M/kiti huyo kwenye gari la msamalia mwema mmoja tayari kwa kumpeleka hospitali kupata matibabu kwenye Hospital ya Palestina Sinza.
No comments:
Post a Comment