Wednesday, July 31, 2013

MONALISA AGOMA KUOLEWA TENA BAADA YA KUACHIKA MARA KADHAA.Msanii mkongwe kwenye soko la filamu Tanzania,Yvonne Cherry "Monalisa" amesema hatarajii kuolewa tena baada ya kuvunjika kwa ndoa zake kadhaa ikiwemo ile ya producer Tyson....
Akisimulia mikasa ya maisha yake mbele ya mwandishi wetu,Monalisa aliema kuna siku walipokuwa kwenye kikao cha sendoff ya mama yake, alitania na kusema ataolewa disemba lakini hakuwa serious....

"Sina mpango wa kuolewa kabisa,kwanza sina mchumba, ntaolewaje?

"Siku ile nilikuwa natania tu kwa sababu sipo tayari kuolewa na kuachika tena"..Alisema Monalisa

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...