Tuesday, May 14, 2013

WANAFUNZI WA SHULE YA MANZESE WAKUMBWA NA "POPO BAWA"....30 WAMEANGUSHWA CHINI MUDA HUU



Wanafunzi wa shule ya Secondary Manzese zaidi ya 30 muda huu wanaanguka hovyo na kusema  maneno yasiyoeleweka kutokana na kinachohisiwa kuna nguvu za Giza zimetanda shuleni hapo huku wakijibamiza kwenye miti:


Mmoja wa wanafunzi wa shule ya Sekondari Manzese aliyeanguka na kuweweseka.
Mpaka sasa haijafahamika chanzo cha wanafunzi wa shule hiyo kukimbia ovyo,kuanguka na kuweweseka. Wadau wa mambo ya giza wanadai ni NGUVU ZA KICHAWI


Picha/Habari Zainab Chondo -ITV

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...