Wednesday, May 15, 2013

MAJI YAKO SHINGONI...LADY JAYDEE ATAKA KUIKIMBIA NCHI ILI KUJINASUA


Jana mwanamuziki LADY JAYDEE aliandika kutaka kuihama nchi yake na kuelekea nchi jirani ya KENYA ...
Lady Jaydee anafikiria kwenda kuomba uraia KENYA ama MALAWI kwa kile kinachoonekana kuwa ni kutaka kujinasua katika migogoro inayomkabili ambayo tayari iko mahakamani....

Mwanamuziki huyo ame-tweet kupitia mtanadao wa kijamii wa twitter na kuandika


No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...