Lady Jay Dee "Movie ndio linaanza sasa ile ilikuwa Trailer" Team Anaconda no surrender.
"Kama mtakumbuka niliahidi kutoa awamu ya pili tar 15 au 17 May na ahadi ni deni..Japo naona mbali ila Nitafanya hivyo, bado nina mengi sana ya kuzungumza kuhusu Ruge na wenzake...Ile ilikuwa ni trailer tu, Movie ndio linaanza sasa #TeamAnaconda no surrender" Lady Jay Dee
Malumbano hayafai Jadye fanya kazi wangu,
ReplyDeletejinsi ulivyo na mambo unayoyafanya hayaendani kabisa
ReplyDelete