Friday, May 17, 2013

HII NDIO SABABU ILIYOMFANYA LADY JAY DEE KUTOKUTIA WARAKA WAKE TAR 15 KAMA ALIVYOAHIDI


Jay Dee na Mumewe Gadner
Nadhani baada ya hii, maswali yatapungua kama sio kuisha kabisa...Nafahamu kila mtu anasoma kwa wakati wake pengine hamkuona sababu nilizoelezea kwanini sijatoa waraka mwingine Tar 15 kama nilivyo ahidi.

Sababu ni kuwa mahakama imesema nisizungumzie hilo swala kwasasa, ambapo kesi bado iko mahakamani...Mpaka nitakapopewa ruhusa ya kuzungumza au kutozungumza tena
H

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...