Tuesday, May 14, 2013

Drama Za Penzi La Prezzo Na Diva Sasa Za Muhusisha Zitto Kabwe


Waswahili husema …”Mapenzi ni UCHIZI”…
Hili ndo tunalolishuhudia kwa Mh Zitto na ( Loveness Diva ) ambaye ameamua kumtema na kupeleka penzi lake kwa Prezzo wa Kenya….
Kwanza ulianza ujumbe wa kumpongeza Prezzo na ahadi ya kumtema RAIS WETU MTARAJIWA….

Baaye kikafuata KIBUTI kwa mh. Mbunge.

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...