Wednesday, January 23, 2013

WEMA SEPETU ANUNUA GARI INAYOKISIWA KUWA NA GHARAMA YA MIL.70 NA ZAIDI



Picha za Gari mpya ya Wema Sepetu aina ya Audi Q7 yenye rangi nyeusi zimeonekana kwenye akaunti ya Wema ya Instagram alipokuwa beach hivi karibuni na kuiandikia caption, ‘my baby at da beach.’

Kwenye akaunti ya meneja wake Martin Kadinda pia kuna picha nyingine ya gari hiyo aliyoiandikia maneno, ‘#maisha sio manhattan…..You can creat your own Manhattan in Tz… Hata kama ni Ya muda mfupi… #Kiphating.’

Gharama ya gari hiyo inaweza kuanzia shilingi milioni 70 na kuendelea.

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...