MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, Januari 25 mwaka huu, itasikiliza ombi la kupatiwa dhamana ya msanii wa Filamu Bongo, Elizabeth Michael 'Lulu' ambaye anakabiliwa na kesi ya kuua bila kukusudia kwenye mahakama hiyo kesi yenye Na. 125/2012 mauaji ya msanii mwenzake marehemu Steven Kanumba.
Ombi hilo la dhamana ambalo tayari litasikilizwa na Jaji Zainabu Mruke limewasilishwa mahakamani hapo na mawakili wake.
Ombi hilo la dhamana ambalo tayari litasikilizwa na Jaji Zainabu Mruke limewasilishwa mahakamani hapo na mawakili wake.
No comments:
Post a Comment