Wednesday, December 19, 2012

WEMA SEPETU NA MARTIN KADINDA NI WAPENZI???

Wote tunafahamu kuwa Martin Kadinda ni meneja wa Wema Sepetu na wamekuwa na ukaribu kwa kipindi kirefu.

Lakini hizi picha alizozipost Martin kupitia Instagram hivi karibuni akiwa na Wema huko Afrika Kusini zimeanza kuleta minong’ono.Je, ni wapenzi au marafiki tu??ukiziangalia hizi picha namaeezo yakeutagundua kitu....!!!

Katika picha hiyo juu Martin aliiandikia, “I Heart em moments… She is spoiling me in a way I can’t say thank you and be enough.”

Katika picha hii Martin ameandika: Sisi ni washwiiiity………. She always say that….
 
Hapa ameandika: #InstaTrueLove…. I loove this Gurl…. She is so pure and Ril…… Kila mtu anakasoro zake… Wema wake ni zaidi ya kasoro zake…. @wemasepetu love kimaria maria 4d

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...