Monday, December 17, 2012

ROSE MUHANDO NA ENOCK JONAS,WALIVYOITIKISA KAGERA



Mwimbaji wa Nyimbo za Injili,Rose Muhando akitumbuiza kwenye Tamasha la shangwe Kagera katika uwanja wa Kaibata mjini Bukoba mwishoni mwa wiki,tamasha hilo lililoandaliwa na Kampuni ya Beula Communication kwa ajili ya kusaidia watoto wanaoishi katika mazingira magumu katika mkoa wa kagera.




Mwimbaji wa Nyimbo za Injili,Enock Jonas(Zunguka) akitumbuiza kwenye Tamasha la shangwe Kagera katika uwanja wa Kaibata mjini Bukoba mwishoni mwa wiki,tamasha hilo lililoandaliwa na Kampuni ya Beula Communication kwa ajili ya kusaidia watoto wanaoishi katika mazingira magumu katika mkoa wa kagera.

Waimbaji wa kwaya ya Vijana ya KKKT Usharika wa kanisa Kuu la Mjini Bukoba wakitumbuiza kwenya tamasha la Shangwe Kagera.

Rose Muhando akiwaburudisha viongozi walioudhuria Tamasha la Shangwe Kagera katika Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba.

Mkuu wa Wilaya Bukoba,Zippora Pangani akihutubia kwenye Tamasha la shangwe Kagera katika uwanja wa Kaibata mjini Bukoba mwishoni mwa wiki,tamasha hilo lililoandaliwa na Kampuni ya Beula Communication kwa ajili ya kusaidia watoto wanaoishi katika mazingira magumu katika mkoa wa kagera.

Mkurugenzi wa Beula Communication,Melkzedek Mutayabarwa akizungumza kwenye Tamasha laShangwe Kagera,ambapo kampuni hiyo ndio iliyoandaa tamasha hilo.

Masista wa Kituo cha Tumaini Children’s Centre, Sr.Adventina Kyamanywa(kushoto)na Sr.Esther wakijadiliana jambo wakati wa tamasha la shangwe Kagera katika viwanja vya Kaitaba mjini Bukoba.

Mchungaji Edward Mutashobya akisalimiana na Mwimbaji wa Nyimbo za Injili Rose Muhando wakati wa tamasha la shangwe Kagera katika viwanja vya Kaitaba mjini Bukoba.

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...