TANZANIA ONE

Sunday, December 30, 2012

MAKAMU WA RAIS DKT.GHARIB BILAL AMJULIA HALI PADRI AMBROSE MKENDA



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimsalimia Padri Ambrose Mkenda, wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mpendae Zanzibar, jana Desemba 30, 2012 aliyelazwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) kutokana na majeraha aliyoyapata kwa kujeruhiwa na risasi na watu wasiojulikana wakati akiwa getini akisubiri kuingia nyumbani kwake mjini Zanzibar hivi karibuni. Kulia ni Muuguzi mwangalizi wa mgonjwa huyo, Namsifu Fue.
Posted by Unknown at 8:21 PM
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Search

SIKILIZA PROFESSIONAL FM

SIKILIZA PROFESSIONAL FM
BONYEZA PICHA HAPA JUU

WEBSITE & GLAPHICS DESIGN

WEBSITE & GLAPHICS DESIGN

TANZANIA ONE - MUSA MATEJA

View my complete profile

SIKILIZA CLOUDS FM RADIO


Stream videos at Ustream

BURUDIKA NA MIZIKI BOMBA


Find more music like this on G5 world

KURASA

  • MWANZO
  • BURUDANI
  • SIASA
  • MITINDO
  • BIASHARA
  • DINI
  • MICHEZO
  • TUPA MAONI YAKO
  • CHUNGULIA PICHA ZANGU
  • MAWASILIANO
  • CODES

PATA HABARI BOMBA MIAKA YA NYUMA

PATA HABARI BOMBA MIAKA YA NYUMA
Wadau wa blog hii unaweza kupata habari zilizopita kwa kubonyeza hiyo picha

BLOG MBALIMBALI

  • MICHUZI
    TFS Wino watwaa ubingwa Bonanza la Michezo, watumia fursa kuelimisha juu ya uhifadhi wa misitu - Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) kupitia Shamba la Miti Wino wamemaliza Bonanza la Michezo la TFS, lililowakutanisha timu nane kutoka kata tatu za...
    1 hour ago
  • MTAA KWA MTAA
    TFS Wino watwaa ubingwa Bonanza la Michezo, watumia fursa kuelimisha juu ya uhifadhi wa misitu - Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) kupitia Shamba la Miti Wino wamemaliza Bonanza la Michezo la TFS, lililowakutanisha timu nane kutoka kata tatu za...
    1 hour ago
  • RUMAFRICA
    IDARA YA WANAWAKE WAMPONGEZA RAIS WA UMOJA WA MAKANISA YA KITUME NA KINABII TANZANIA NABII MHE. JOSHUA ARAM MWANTYALA | RUMAFRICA TANGAZO -
    11 hours ago
  • BONGOWEEKEND
    MBETO: RAIS DKT. MWINYI KUTEKELEZA AHADI ZOTE BILA 'LONGO LONGO' ZANZIBAR - Na Mwandishi Wetu, Zanzibar Chama Cha Mapinduzi kimewatoa hofu waZanzibari kuwa ahadi zote za kisera zilizoainishwa katika Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2...
    13 hours ago
  • JIACHIE
    Ujenzi wa Barabara ya Songea–Lutukira Kuinua Uchumi na Usalama wa Usafiri Ruvuma - Belinda Joseph- Ruvuma. Ujenzi wa Barabara ya Songea–Lutukira yenye urefu wa Km 95.1 pamoja na Bypass ya Songea yenye Km 16, unatarajiwa kuleta manufa...
    14 hours ago
  • KAJUNASON
    Wateja wa Benki ya CRDB Wafurahia Huduma Wakijizolea Zawadi - * Kampeni ya TUSHAVUKA HUKO ya Benki ya CRDB inaendelea kuvunja rekodi baada ya wateja kutoa ushuhuda kuhusu maboresho makubwa ya mfumo na huduma za benk...
    3 days ago
  • BIN ZUBEIRY
    TAIFA STARS YACHAPWA 1-0 NA NIGER ZANZIBAR KUFUZU KOMBE LA DUNIA - TIMU ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars jana ilichapwa bao 1-0 na Niger pungufu katika mchezo wa Kundi E kufuzu Fainali za Kombe la Dunia 2026 Uwanj...
    2 months ago
  • SUFIANI MAFOTO
    TUWAPE FARAJA FAMILIA ZENYE WATOTO WENYE USONJI, TUSIWATENGE -JACKLINE MJEMA - *Mwandishi na Mtunzi wa Vitabu, Jackline Christopher akionesha kitabu chake cha All the Colors I See baada ya kukizindua mapema wiki hii ambapo kinazung...
    6 months ago
  • Millard Ayo – Official Website
    Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 3, 2025 - Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania March 3, 2025,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini ke...
    8 months ago
  • SuperD Boxing Coach
    SUPER D AMUANDAA SUNDAY KIWALE KWA USHINDI WA K,O JANUARY 31 TANGA ATAKAPOZIPIGA NA YOHANA MCHANJA - Na Mwandishi Wetu KOCHA wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' ambaye kwa sasa anamnowa bondia Sunday Kiwale 'Moro Best' kwa aj...
    5 years ago
  • MRISHO
    MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU AIPONGEZA HOSPITALI YA MAMC-MLOGANZILA KWA KUENDELEA KUTOA HUDUMA BORA - Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (mwenye kilemba cha bluu) anayemfuatia ni Makamu Mkuu wa Chuo, Huduma za Hosp...
    7 years ago
  • Unique Entertainment
    BRAND NEW SONG: METTY ft DAYNA NYANGE & NAPPY - YOUR LOVE -
    8 years ago
  • Martin kadinda Official Fashion Blog
    MARTIN KADINDA SHOWCASE AT SOUTH AFRICA MENSWEAR WEEK IN CAPE TOWN -
    10 years ago
  • JANE JOHN
    DISCUSSION ON EU-TANZANIA TRANSFER AGREEMENT WHICH ALLOWS TO TRIAL PIRATES CAPTURED BY EUROPEAN NAVAL FORCES IN TANZANIA COURTS - [image: 1] *From left is Political Officer Delegation of the European Union Tom Vens, Rear Admiral Commander Task Force 465 Jürgen zur Mühlen , and the Cha...
    11 years ago
  • BONGO STAR LINK
    (Photo's) Hivi ndivyo NIKKI WA PILI na washkaji zake walivyokula ndoto ya MASTER OF ARTS IN DEVELOPMENT MANAGEMENT pale CHUO KIKUU CHA MLIMANI - Anajulikana na mashabiki kwa jina la Nikki wa Pili msanii wa Hip Hop nchini anayeliwakilisha lile kundi la WEUSI, jana tarehe 16 Nikki alikuwa ana gradu...
    12 years ago
  • JAMII FORUMS
    -

POPULAR POSTS

  • HAWA NDIYO... MADEMU WA PICHA ZA UTUPU BONGO ..!
      Aunt Lulu. Aunt Lulu: Mara kadhaa amekuwa akitengeneza vichwa vya habari magazetini kwa kupiga picha za utupu. Mfano hai ni pich...
  • MJUWE BAKHRESA KATIKA PICHA NA MATAJILI WENZAKE 10 WA BONGO
      Said Salim Awadh Bakhresa.   KATI ya miaka ya 1960 hadi 1980, mtu kuwa tajiri alionekana ni hatari kwa taifa, tena mali zake aliz...
  • ANGALIA KWA MAKINI JINSI SHILOLE ALIVYONYONYWA MAZIWA NA SHABIKI JUKWAANI
     Shabiki akimnyonya maziwa Shilole baada ya kumuita jukwaani ili wacheze wote.  Shilole akionyesha kulegea baada ya kunyonywa na shab...
  • AIBU: PICHA ZA UCHI ZA MSANII SAPNA WA STEVE R & B ZADAKWA.....
    WAKATI mabinti wengi hasa mastaa wa Bongo wakijuta baada ya picha zao za utupu walizopigwa na wapenzi wao kuvuja, kwa msanii mrembo aliy...
  • HIVI NDIVYO WEMA SEPETU ALIVYOFIRISIWA KILA KITU NA BWANA AKE WA ZAMANI
    Wema Isaac Sepetu. Na Imelda Mtema ZILE tambo, mbwembwe na majigambo ya Miss Tanzania 2006/07, aliye pia msanii wa filamu Bongo, Wema Is...
  • AUNT EZEKIEL ATIMULIWA NYUMBANI KWA WEMA SEPETU
    IMBWILI la aina yake limetokea nyumbani kwa ‘Beautiful Onyinye’ wa Bongo, Wema Sepetu, kati ya Martin Kadinda na nyota wa filamu za Bongo,...
  • ANGALIA MAJANGA YA SHILOLE,LINAH,AMINI,RECHO,MSAMY KWENYE SERENGETI FIESTA 2013,TABORA&SINGIDAS
  • Picha za WEMA SEPETU akiwa kwenye msiba wa Ngwair huko Morogoro
  • MAPICHA:MWILI WA MSANII RECHO KUSAFIRISHWA KWAO SONGEA KWA MAZISHI
    MASTAA wa Bongo Muvi wamemlilia msanii mwenzao, Rachel Haule 'Recho' aliyefariki jana saa mbili usiku katika Hospitali ya Taifa M...
  • MWANAMITINDO FIDELINE IRANGA AVUJISHA PICHA ZA UTUPU
    MWANAMITINDO ,long time kitambo Fideline Iranga, hatimaye ameamua kuvujisha picha zake za utupu kwenye mitandao ya kijamii. Picha hizo...

Followers

Blog Archive

  • August (21)
  • April (3)
  • March (22)
  • February (53)
  • January (43)
  • October (6)
  • August (3)
  • July (28)
  • June (80)
  • May (69)
  • April (70)
  • March (111)
  • February (138)
  • January (21)
  • October (1)
  • September (11)
  • August (3)
  • July (5)
  • June (27)
  • May (29)
  • April (23)
  • March (53)
  • February (47)
  • January (102)
  • December (49)
  • November (62)
  • October (52)
  • September (51)
  • August (70)
  • July (127)
  • June (97)
  • May (99)
  • April (52)
  • March (50)
  • February (95)
  • January (97)
  • December (87)
  • November (38)
  • October (54)
  • September (87)
  • August (161)
  • July (82)
  • June (83)
  • May (60)
  • April (19)
  • March (89)
  • February (60)
  • January (85)

WALIOTEMBELEA BLOGU HII

BLOG DESIGNER

BLOG DESIGNER
Contact 0654 5042 66
Awesome Inc. theme. Powered by Blogger.