Friday, December 21, 2012

HIVI NDIVYO LEMA ALIVYOCHEKELEA BAADA YA KUSHINDA RUFAA




Aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini, Godbrese Lema, akiongoza na na wafuasi wake wa Chadema baada ya kushinda Rufaa yake ya kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi katika Mahakama ya Kanda ya Dar es Salaam leo mchana iliyokuwa ikisikilizwa katika Mahakama ya Rufaa jijini Dar es Salaam. Hapa ni wakati akitoka Mahakamani hapo.


Lema akipunga mkono kwa wafuasi wake wakati akitoka Mahakamani hapo leo.



Wafuasi wa Chadema walivyoupokea ushindi wa Lema jijini Arusha baasda ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kutangaza ushinsdi huo leo.

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...