Thursday, December 20, 2012


BREAKING NEWZZ!!....GODBLESS LEMA ASHINDA RUFAA YAKE YA UBUNGE.HIVI SASA NI MBUNGE HALALI


Habari zilizotufikia hapa mtandaoni kutoka kwa chanzo chetu cha habari kilichopo mahakamani ni kwamba Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema ameshinda rufaa yake ya ubunge.


Rufaa hiyo ilikuwa inasikilizwa mahakama kuu ya rufaa jijini Dar es salaam.Kwa maaana hiyo ni kwamba Lema kwa sasa atakuwa mbunge halali wa arusha mjini.

Ikumbukwe Lema alisimamishwa ubunge wake kupitia kesi iliyofunguliwa kwamba wakati wa kampeni zake alitoa lugha isisiyotakiwa kwa mgombea wa ccm. Kwa habari zaidi endelea kufuatilia Mateja 20 itakupasha

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...