SERIKALI
leo inatoa hadharani ripoti ya Kamati iliyoundwa kupata taarifa kuhusu
vurugu zilizotokea mkoani Iringa na kusababisha kifo cha aliyekuwa
mwandishi wa habari wa Kituo cha Televisheni cha Channel Ten, Daudi
Mwangosi. Wakati ripoti hiyo ikitarajiwa kutolewa na Waziri wa Mambo ya
Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi, Kamati nyingine iliyoundwa na Baraza
la Habari (MCT) na Jukwaa la Wahariri Tanzania (Tef), nayo leo
inatarajiwa kuweka hadharani ripoti yake.
No comments:
Post a Comment