Mstahiki meya aliweka wazi nia yake ya kutaka kuwawakilisha vema vijana wa Kitanzania kwenye UVCCM-NEC na aliwaasa vijana wengine kushiriki kwenye mchakato huo na huku akisisitza kwamba yuko tayari kufanya kazi kokote nchini kwa maslahi ya wananchi, vilevile meya aliwaasa viongozi wote kuwajibika na kutimiza ahadi zao walizozitoa kwa wananchi na kwa kuweka mbele maslahi ya taifa na sio yao.
Monday, August 6, 2012
MSTAHIKI MEYA WA MANISPAA YA ILALA JERRY SILAA ARUDISHA FOMU ZA UVCCM - NEC
Mstahiki meya aliweka wazi nia yake ya kutaka kuwawakilisha vema vijana wa Kitanzania kwenye UVCCM-NEC na aliwaasa vijana wengine kushiriki kwenye mchakato huo na huku akisisitza kwamba yuko tayari kufanya kazi kokote nchini kwa maslahi ya wananchi, vilevile meya aliwaasa viongozi wote kuwajibika na kutimiza ahadi zao walizozitoa kwa wananchi na kwa kuweka mbele maslahi ya taifa na sio yao.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment