Mpiga masumbwi matata Omari Kimweru akimchakaza Bondia mwenzake Yodpichai Sithsaithong, hivi karibuni kwenye mpambano uliofanyika ndani ya Ukumbi wa The Melbourne Pavilion, Flemington, Victoria, Australia Julai 13 mwaka huu, ambapo muandaaji wa mtanange huo alikuwa Brian Amatruda, kwa histori ambayo tayari Mtanzania huyu Omari Kimweri ameshajijengea ni kuhakikisha anafanya vizuri katika mapambano yake yote nje ya nchi kutokana na umairi wake wa mchezo wa masumbwimda anaoufanya kwa muda mrefu katika makazi yake mapya ya sasa huko nchini Austalia.
Saturday, July 21, 2012
OMARI KIMWERI AENDELEA KUWACHAKAZA MABONDIA WA AUSTALIA
Mpiga masumbwi matata Omari Kimweru akimchakaza Bondia mwenzake Yodpichai Sithsaithong, hivi karibuni kwenye mpambano uliofanyika ndani ya Ukumbi wa The Melbourne Pavilion, Flemington, Victoria, Australia Julai 13 mwaka huu, ambapo muandaaji wa mtanange huo alikuwa Brian Amatruda, kwa histori ambayo tayari Mtanzania huyu Omari Kimweri ameshajijengea ni kuhakikisha anafanya vizuri katika mapambano yake yote nje ya nchi kutokana na umairi wake wa mchezo wa masumbwimda anaoufanya kwa muda mrefu katika makazi yake mapya ya sasa huko nchini Austalia.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment