WANAUME FAMILY, MWANAFA, FEROUZ NA KHADIJA KOPA WAFUNIKA DAR LIVE
Msanii Chegge Chibunda kutoka kundi la Wanaume Family akifanya makamuzi ndani ya Dar Live usiku wa kuamkia leo.
Msanii Chegge Chibunda kutoka kundi la Wanaume Family akifanya makamuzi ndani ya Dar Live usiku wa kuamkia leo.
Mhe. Temba wa Wanaume Family akishusha burudani kwa mashabiki waliofurika katika ukumbi wa Dar Live usiku wa kuamkia leo.
Hamis Mwinjuma a.k.a MwanaFA akiliteka jukwaa la Dar Live.
Bi. Cheka wa Wanaume Family akifanya makamuzi. Pembeni ni Temba.
Dogo Aslay wa Wanaume Family akiwarusha mashabiki wa Dar Live.
Malkia wa mipasho, Khadija Kopa akiwarusha mashabiki wa taarab.
Sehemu ya umati wa watu walioitikia shoo hiyo.
No comments:
Post a Comment