JULIO NA HILDA WAPASUA KILICHOWAONDOA BBA 2012
Washiriki waliokuwa wakiiwakilisha Tanzania kwenye shindano la Big Brother StarGame, Hilda Reiffestrein na Julio Batalia leo walizungumza na waandishi wa habari kwenye hoteli ya Southern Sun iliyopo Posta jijini Dar es Salaam.
Miongoni mwa mambo waliyozungumzia kwenye mkutano huo na waandishi wa habari, walieleza namna ambavyo wamejifunza tamaduni za watu mbalimbali walipokuwa mjengoni.
No comments:
Post a Comment