Thursday, March 15, 2012

YANGA YAICHAKAZA AFRICAN LYON

Kiungo wa Yanga, Shadrack Nsajigwa, akimtoka beki wa African Lyon.

Kipa wa African Lyon, Abdul Seif, akiugulia machungu yaliyomfika wakati wa mchezo huo.



Msanii wa filamu za maigizo, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ akifuatilia mpambano.

Shabiki akisherehekea kwa kukata nyonga baada ya Yanga kupata bao lililodumu mpaka kipyenga cha mwisho.

TIMU ya Yanga jana ilichapa African Lyon kwa bao 1-0 katika mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara iliyochezwa Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.





Polisi wakiwa tayari kwa lolote.

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...