Monday, March 12, 2012

USIKU WA MNANDA, MDUARA NA CHEZA, VAA, IMBA KAMA RIHANNA WAJIMYA MWAYA DAR LIVE

Wasanii wa kundi la Offside Trick wakilishambulia jukwaa.



Msanii AT akiwarusha wapenzi wa mduara.



Dogo Jack wa kundi la Jaguar akiwapagawisha wapenzi wa mnanda.



Dogo Mfaume akizikonga nyoyo za mashabiki wa Mnanda.



Msanii Easy Man akikamua stejini.



Bendi ya Extra Bongo ikiongozwa na Ali Choki kutoa raha kwa mashabiki.



Wasanii wa kundi la Jaguar wakifanya mambo.



Msanii Izo Business akiwasabahi mashabiki kwa songi lake la Ridhiwan.



Majaji wa shindano la Vaa, Imba na Cheza kama Rihanna wakiwa mzigoni.




Washiriki wa shindano la Vaa, Imba na Cheza kama Rihanna walioingia sita bora wakiwa katika pozi.

...Washiriki hao wakiwa katika pozi na majaji, Saleh Ally na Baby Madaha.



Offside Trick wakiwasha moto.




Mnenguaji wa kundi la Shilole akionyesha ujuzi.




AT na Shilole wakiwapagawisha mashabiki.

Wanenguaji wa kundi la Shilole wakionyesha machejo yao.



Mshindi wa shindano la tikisa nae alikuwepo.


Msanii Hammer Q akikoleza burudani hizo.



Mainjinia wa Dar Live wakiwa kazini.




Nyomi iliyoitikia shangwe hizo.



WASANII Dogo Mfaume, Easy Man na kundi la Jaguar jana walifunika vilivyo kwa upande wa Mnanda huku Offside Trick wakiwa na Hammer Q, AT na Shilole wakiangusha bonge la burudani na kuwarusha vilivyo wapenzi wa Mduara waliofurika katika ukumbi wa maraha wa Dar Live uliopo Mbagala Zakhem. Bendi ya muziki wa dansi ya Extra Bongo nayo haikuwa nyuma kukonga nyoyo za mashabiki wakati washiriki wa shindano la Vaa, Imba na Cheza kama Rihanna wakitikisa na kuwaacha midomo wazi wapenzi wa shangwe mahali hapo.

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...