Mkurugenzi wa Mahusiano na Mawasiliano wa Kampuni ya SBL , Teddy Mapunda (katikati), akizungumza katika hafla fupi ya kukabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi mil .10,925,000/= kwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri TEF (kulia), Absalom Kibanda na Mkurugenzi Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Kajubi Mukajanga.
No comments:
Post a Comment