DJ Cleo akigonga tano na Sinta.
STAA wa wimbo wa Facebook kutoka pande za Afrika Kusini DJ Cleo, mapema hii amebambwa na kamera yetu akijiachia na warembo wa Bongo Movie ndani ya kiwanja cha kutafunia bata cha Samaki Samaki kilichopo Mlimani City jijini Dar es Salaam.
... kijadiliana moja ya jambo na warembo hao
Mastaa wa Tasnia ya filamu Bongo wakiwa katika meza moja na DJ Cleo (wa mwisho kulia), ndani ya Samaki Samaki Mlimani City.
Jacqueline Wolper akiwa katika pozi na DJ Cleo.
Baadhi ya mastaa wa filamu Bongo na wasanii aliyokuja nao DJ Cleo wakiwa katika pozi.
Jacqueline Wolper akiongoza msafala wakati wakitoka Samaki Samaki kupata msosi wa mchana na DJ Cleo.
Dj Cleo akiingia kwenye gari tayari kwa kulejea katika Hoteli aliyofikia.
Mmoja wa warembo waliofika kupata msosi na DJ Cleo akipozi na mmoja wa wasanii aliyokuja nao.
DJ Cleo akiangalia baadhi ya picha alizopiga na warembo hao.
Kati ya wenyeji wake na Dj Cleo wakiangana naye wakati wa kutoka Mlimani City.

No comments:
Post a Comment