Tuesday, March 13, 2012

MSONDO NGOMA YAENDELEZA MAKAMUZI YAKE

Msanii mpya wa bendi ya Msondo Ngoma, Shaaban Lendi (kushoto) akipuliza Saxaphone wakati wa onesho la bendi hiyo lililofanyika Jumapili katika Ukumbi wa Max Bar Ilala Bungoni wengine ni Hamisi Mnyupe, Romani Mngande na Msemaji wa Bendi hiyo Rajabu Mhamila Super D .



Waimbaji wa bendi ya Msondo Ngoma wakiimba wakati wa onesho lao lililofanyika Jumapili katika Ukumbi wa Max Bar Ilala Bungoni kutoka kushoto ni Hassan Moshi, Shabani Dede, Msemaji wa Bendi hiyo Rajabu Mhamila Super D na mwimbaji Juma Katundu.



Msanii mpya wa bendi ya Msondo Ngoma Shaaban Lendi akifanya vitu vyake wakati wa onesho hilo.



Msemaji wa Bendi ya Msondo Ngoma Rajabu Mhamila Super D (kulia) akisakata rhumba na mashabiki wa bendi hiyo.



No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...