WAREMBO 20 WAPENYA SHINDANO LA CHEZA,IMBA,VAA KAMA RIHANNA
Baaadhi ya washiriki waliongia hatua ya ishirini bora katika shindano la cheza ,imba na vaa kama mwamanuziki wa MAREKANI RIHANNAwakifurahia baada ya kutangazwa kuingia hatua hiyo,shindano hilo linaandaliwa na ukumbi wa DAR LIVE uliopo MBAGALA ambapo mshindiatajinyakualia zawadi ya shilingi milioni kumi taslimu
No comments:
Post a Comment