MISS TANZANIA WATAMBULISHA WADHAMINI WAPYA WA MASHINDANO HAYO 2012
Hasheem Lundengg akiongea utambulisho huo.
KAMATI ya Miss Tanzania usiku wa kumakia leo ulitambulisha rasmi wadhamini wapywa wa mashindano hayo kwa mwaka huu katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Akizungumza katika utambulisho huo, mkurugenzi wa mashindano hayo, Hasheem Lundenga, alisema mwaka huu mchakato mzima umedhaminiwa na kampuni ya bia nchini (TBL) kupitia kinywaji chake cha Reddy’s.
Baadhi ya warembo wa Miss Tanzania 2011/2012 wakifungua padhia lenye nembo mpya ya wadhamini wa mashindano hayo.
…Wakiwa wamenyanyua juu kinywaji cha Reddy’s muda mfupi baada ya utambulisho.
Lundenga (katikati), akijadiliana jambo na baadhi ya wanakamati wa mashindano hayo.
Miss Tanzania 2011/2012, Salha Israel (wa pili kushoto), akiongea jambo na mmoja wa wanakamati wa Miss Tanzania, Oscar Makoye.
Staa wa Bongo Movies, Jacqueline Wolper, akiwa kwenye utambulisho huo.
Lundenga (kushoto), akifurahia jambo na baadhi ya waalikwa.
Baadhi ya wanahabari wakiwa kazini kwenye hafla hiyo.
Bango lenye nembo mpya ya wadhamini wa mashindano hayo
Mtangazaji wa Clouds FM, Ephraim Kibonde (kulia), akijadili jambo na baadhi ya waalikwa wenzake.
Miss Tanzania Salha Israel (wa pili kulia), akiwa katika pozi na baadhi ya waalikwa.
Warembo wa Miss Tanzania wakiserebuka baada ya uzinduzi huo.
Baadhi ya wageni waalikwa wakifuatilia mchakato wa utambulisho na uzinduzi huo.
No comments:
Post a Comment