Bendi ya Muziki wa Dansi imemtambulisha rasmi mcheza shoo mpya, Janeth Tingisha aliyekuwa Diamond Musica kwenye Ukumbi wa Mzalendo jijini Dar


Rapa wa Extra Bongo, Saullo John 'Fagasoni' akiimba sambamba na mashabiki Wapenzi na mashabiki wakicheza wakati wa utambulisho huo Mpiga Bass, Hoseah Mgoati akipiga gitaa lake sambamba na mashabiki
No comments:
Post a Comment