![]() |
Washambuliaji wa timu ya Yanga SC, Paul Nonga na Simon Msuva wakiwa wamekumbatiana wakati wakishangilia bao lililofungwa na Msuva. |
TIMU ya Yanga SC, mapema leo imefanikiwa kutinga raundi ya 16 bora kwenye michuano ya ya Azam Sports Federation Cup maarufu kama FA baada ya kuichapa magoli 3-0 timu ya Friends Rangers ndani ya Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
![]() |
Mshambuliaji wa Yanga Paul Nonga akiwatoka mabeki wa timu ya Friends Rangers. |
![]() |
Msuva kushoto akionyesha uwezo wake uwanjani hapo. |
No comments:
Post a Comment