![]() |
Mshambuliaji wa timu ya Chalsea Diego Costa (katikati), akijaribu kuipenya ngome ya Arsenal mapema kwenye mchezo uliyomalidhika kwa timu hiyo kuwalaza Arsenal kwa bao 1-0. |
![]() |
Ozil akijaribu kutafuta nafasi ya kusawazisha goli hilo ambalo limedumu hadi mwisho wa mchezo huo. |
No comments:
Post a Comment