Saturday, January 23, 2016

SIMBA YAIKUNG'UTA 3-0 BUKINAFASO YA MOROGORO

Mshabuliaji wa kimataifa wa timu ya Simba SC, Hamisi Kiiza (kulia), akipambana na mmoja wa wachezaji wa timu ya Bukinafaso ya mjini Morogoro katika mchezo wa FA uliyochezwa jioni ya leo kwenye uwanja wa Jamhuri Morogoro. katika mchezo huo timu ya Simba imeibuka kidedea kwa kuichapa Bukinafaso magoli 3-0.
Mwinyi Kazimoto akimpongeza Saidi Ndemla, muda mfupi baada ya kuifungia timu hiyo goli la pili.
Wachezaji wa Simba SC. wakiwa kwenye picha ya pamoja kabla ya mehi hiyo kuanza katika uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro.
Timu ya Bokinafaso ikiwa katika picha ya pamoja kabla ya mchezo huo kuanza.

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...