Saturday, May 2, 2015

SHOO YA ZARI ALL WHITE PARTY YAACHA HISTORIA JIJINI DAR

Staa wa Bongo Fleva, Diamond akiangalia mimba ya mpenzi wake, Zari the Boss Lady usiku wa Zari All White Party ndani ya Ukumbi wa Mlimani City.
Akipapasa tumbo la mpenzi wake.
Mtangazaji wa Clouds FM, Millard Ayo (kulia), akipiga picha na msanii A.K.A kutoka Afrika Kusini.
Diamond akiwachengua mashabiki kwa wimbo wake wa Nasema Nawe aliomshirikisha Malkia wa Taarab, Khadija Kopa.
Nyomi ikiwa imedata na shoo kali kutoka kwa Diamond Platinumz.
Diamond akicheza na madansa wake.
Diamond akizidi kuwapagawisha mashabiki wake.
Mashabiki wakishangilia shoo kali iliyoporomoshwa na Diamond (hayupo pichani).
Diamond Platnumz akizikonga nyoyo za mashabiki wake.
Malkia wa Taarab Bongo, Khadija Kopa akiimba sambamba na Diamond Wimbo wa Nasema Nawe.
Mpenzi wa Diamond Platnumz, Zari akisema na mashabiki waliofurika usiku wa Zari All White Party ndani ya Ukumbi wa Mlimani City.
Diamond akimyanyua mpenzi wake kwenye kiti.
Diamond akimsifia mpenzi wake mbele ya mashabiki wake.
Nyomi ya kufa mtu ndani ya Ukumbi wa Mlimani City.
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Shetta akiwarusha mashabiki waliofika katika Usiku wa Zari All White Party.
Mwigizaji Vincent Kigosi 'Ray' na mlezi wa Klabu ya Bongo Movie, Mama Rolaa wakizungumza jambo.
Yamoto Band wakizidi kuzikonga nyoyo za mashabiki.
Yamoto Band chini ya Prezidaa wao, Dodo Aslay (kulia) wakifanya yao stejini.
Mashabiki wakijiachia.
Wasanii wa Bongo Fleva, Aika, Nahreel na Niki wa Pili wakifanya yao stejini.
...wakiendelea kutoa burudani.
Diamond Platnumz akimbusu mpenzi wake Zari katika usiku wa Zari All White Party ndani ya Mlimani City.
Diamond, Zari wakiwa katika meza maalumu na baadhi ya marafiki zao.
Diamond akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Bia ya Serengeti, Steve Ganon.
Zari the Boss Lady (kushoto) akiongea jambo na Madam Rita.
Zari na Diamond wakati wakiingia ukumbini.
Mtangazaji wa Clouds TV, Shadee (kulia), akiongea na mmoja wa mashabiki walijitokeza kwenye pati hiyo.
Mshindi wa Shindano la BBA 2014, Idris Sultan (katikati), akiwanyiwa mahojiano mara baada ya kuwasili kwenye pati hiyo.
Mtangazaji wa Global TV, Mourad Alfah akizungumza na shabiki.
Baadhi ya mashabiki waliohudhuria katika pati hiyo wakiwa katika pozi.
Mpiga Picha Mkuu wa Global Publishers, Richard Bukos (kati) akipozi na watangazaji, Sauda Mwilima wa Star TV (kulia) na Khadija Shaibu 'Dida' wa Times FM.
Snura Mushi (kulia), akiwa katika pozi na Dida wa Redio Times FM (kushoto) na Sauda Mwilima wa Star TV (katikati).
Snura akiwa katika pozi na meneja wake, HK.
Moja ya Bango walilokuwa nalo mashabiki wa Diamond.
Mashabiki wakifuatilia burudani hizo.
Baadhi ya warembo waliyojitokeza kwenye pati hiyo wakiwa katika pozi.
(PICHA ZOTE NA RICHARD BUKOS, MUSA MATEJA / GPL)

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...