Saturday, May 23, 2015

‘BABY SHOWER’ YA TIWA SAVAGE MH!

Staa wa muziki Nigeria, Tiwa Savage akiwa na rafiki yake.
LAGOS, Nigeria
JUZIKATI kulifanyika sherehe ya ujio wa mtoto wa staa wa muziki Naija, Tiwa Savage ambapo mastaa kibao wa muziki na filamu walijitokeza.
Akiwa na wageni waliohudhulia katika hafla hiyo.
Sherehe hizo zilizokwenda kwa jina la ‘Sailor Baby Shower’ zilifanyika ndani ya boti ya tajiri maarufu wa mafuta, Femi Otedola ambapo Tiwa ni balozi kwenye kampuni yake.
Miongoni mwa mastaa waliofunika siku hiyo iliyokuwa maalum kwa nguo nyeupe ni Sasha, Toke Makinwa, Lami Philiops, Eku Eduwor, Di’Ja, Annie Idibia, Tania Omotayo na wengine kibao.

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...