Thursday, April 16, 2015

Mume Wa Shamsa Ford ameanza kumpost Siwema aliyekuwa na Nay Wa Mitego

Magazeti, Blogs na vituo vya radio vimeripoti mara kadha tetesi za mapenzi ya mastaa Nay wa Mitego na Shamsa Ford wa bongo movie baada ya pciah kadha za Shamsa akiwa nyumbani kwa Nay Wa Mitego kusamba. Stori hii ilivuma zaidi baada ya picha ya busu la Nay Wa Mitego na Shamsa kuwekwa mtandaoni na Diamond huku Shamsa akisema ni filamu inakuja.
Hivi karibuni mume wa Shamsa ametumia kurasa yake ya Instagram kumpa sifa aliyekuwa mpenzi wa Nay Wa Mitego, Siwema.
siwema 1 siwema 2 siwema 3 siwema 4

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...